Hosea 7:10

10 aKiburi cha Israeli kinashuhudia dhidi yake,
lakini pamoja na haya yote
harudi kwa Bwana Mungu wake
wala kumtafuta.
Copyright information for SwhNEN